Zaburi 119:61
Psalms 119:61 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hata waovu wanifunge kwa kamba, sitasahau sheria yako.
Psalms 119:61 in English
Psalms 119:61 · Berean Standard Bible
Though the ropes of the wicked bind me, I do not forget Your law.
Context
59Nimezifikiri njia zangu
na nimeelekeza hatua zangu katika mausia yako. 60Nitafanya haraka bila kuchelewa
kuzitii amri zako. 61Hata waovu wanifunge kwa kamba,
sitasahau sheria yako. 62Usiku wa manane ninaamka kukushukuru
kwa sababu ya sheria zako za haki. 63Mimi ni rafiki kwa wale wote wakuchao,
kwa wote wanaofuata mausia yako.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.