Zaburi 119:58
Psalms 119:58 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Nimetafuta uso wako kwa moyo wangu wote, nihurumie sawasawa na ahadi yako.
Psalms 119:58 in English
Psalms 119:58 · Berean Standard Bible
I have sought Your face with all my heart; be gracious to me according to Your promise.
Context
56Hili limekuwa zoezi langu:
nami ninayatii mausia yako. 57Ee Bwana, wewe ni fungu langu,
nimeahidi kuyatii maneno yako. 58Nimetafuta uso wako kwa moyo wangu wote,
nihurumie sawasawa na ahadi yako. 59Nimezifikiri njia zangu
na nimeelekeza hatua zangu katika mausia yako. 60Nitafanya haraka bila kuchelewa
kuzitii amri zako.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.