Native Bible

Psalms 119:56 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hili limekuwa zoezi langu: nami ninayatii mausia yako.

Psalms 119:56 in English

Psalms 119:56 · Berean Standard Bible

This is my practice, for I obey Your precepts.

Context

54Maagizo yako ni kiini cha nyimbo zangu popote ninapoishi. 55Ee Bwana, wakati wa usiku ninalikumbuka jina lako, nami nitatii sheria yako. 56Hili limekuwa zoezi langu: nami ninayatii mausia yako. 57Ee Bwana, wewe ni fungu langu, nimeahidi kuyatii maneno yako. 58Nimetafuta uso wako kwa moyo wangu wote, nihurumie sawasawa na ahadi yako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.