Zaburi 119:54
Psalms 119:54 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Maagizo yako ni kiini cha nyimbo zangu popote ninapoishi.
Psalms 119:54 in English
Psalms 119:54 · Berean Standard Bible
Your statutes are songs to me in the house of my pilgrimage.
Context
52Ee Bwana, ninazikumbuka sheria zako za zamani,
nazo zinanifariji. 53Nimeshikwa sana na ghadhabu kwa ajili ya waovu,
ambao wameacha sheria yako. 54Maagizo yako ni kiini cha nyimbo zangu
popote ninapoishi. 55Ee Bwana, wakati wa usiku ninalikumbuka jina lako,
nami nitatii sheria yako. 56Hili limekuwa zoezi langu:
nami ninayatii mausia yako.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.