Native Bible

Psalms 119:53 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nimeshikwa sana na ghadhabu kwa ajili ya waovu, ambao wameacha sheria yako.

Psalms 119:53 in English

Psalms 119:53 · Berean Standard Bible

Rage has taken hold of me because of the wicked who reject Your law.

Context

51Wenye majivuno wamenisimanga bila kuchoka, hata hivyo sitaiacha sheria yako. 52Ee Bwana, ninazikumbuka sheria zako za zamani, nazo zinanifariji. 53Nimeshikwa sana na ghadhabu kwa ajili ya waovu, ambao wameacha sheria yako. 54Maagizo yako ni kiini cha nyimbo zangu popote ninapoishi. 55Ee Bwana, wakati wa usiku ninalikumbuka jina lako, nami nitatii sheria yako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.