Zaburi 119:52
Psalms 119:52 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ee Bwana, ninazikumbuka sheria zako za zamani, nazo zinanifariji.
Psalms 119:52 in English
Psalms 119:52 · Berean Standard Bible
I remember Your judgments of old, O LORD, and in them I find comfort.
Context
50Faraja yangu katika mateso yangu ni hii:
Ahadi yako inahifadhi maisha yangu. 51Wenye majivuno wamenisimanga bila kuchoka,
hata hivyo sitaiacha sheria yako. 52Ee Bwana, ninazikumbuka sheria zako za zamani,
nazo zinanifariji. 53Nimeshikwa sana na ghadhabu kwa ajili ya waovu,
ambao wameacha sheria yako. 54Maagizo yako ni kiini cha nyimbo zangu
popote ninapoishi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.