Native Bible

Psalms 119:50 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Faraja yangu katika mateso yangu ni hii: Ahadi yako inahifadhi maisha yangu.

Psalms 119:50 in English

Psalms 119:50 · Berean Standard Bible

This is my comfort in affliction, that Your promise has given me life.

Context

48Ninaziinulia amri zako ambazo ninazipenda mikono yangu, nami ninatafakari juu ya maagizo yako. 49Kumbuka neno lako kwa mtumishi wako, kwa sababu umenipa tumaini. 50Faraja yangu katika mateso yangu ni hii: Ahadi yako inahifadhi maisha yangu. 51Wenye majivuno wamenisimanga bila kuchoka, hata hivyo sitaiacha sheria yako. 52Ee Bwana, ninazikumbuka sheria zako za zamani, nazo zinanifariji.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.