Native Bible

Psalms 119:49 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kumbuka neno lako kwa mtumishi wako, kwa sababu umenipa tumaini.

Psalms 119:49 in English

Psalms 119:49 · Berean Standard Bible

Remember Your word to Your servant, upon which You have given me hope.

Context

47kwa kuwa ninazifurahia amri zako kwa sababu ninazipenda. 48Ninaziinulia amri zako ambazo ninazipenda mikono yangu, nami ninatafakari juu ya maagizo yako. 49Kumbuka neno lako kwa mtumishi wako, kwa sababu umenipa tumaini. 50Faraja yangu katika mateso yangu ni hii: Ahadi yako inahifadhi maisha yangu. 51Wenye majivuno wamenisimanga bila kuchoka, hata hivyo sitaiacha sheria yako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.