Native Bible

Psalms 119:51 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wenye majivuno wamenisimanga bila kuchoka, hata hivyo sitaiacha sheria yako.

Psalms 119:51 in English

Psalms 119:51 · Berean Standard Bible

The arrogant utterly deride me, but I do not turn from Your law.

Context

49Kumbuka neno lako kwa mtumishi wako, kwa sababu umenipa tumaini. 50Faraja yangu katika mateso yangu ni hii: Ahadi yako inahifadhi maisha yangu. 51Wenye majivuno wamenisimanga bila kuchoka, hata hivyo sitaiacha sheria yako. 52Ee Bwana, ninazikumbuka sheria zako za zamani, nazo zinanifariji. 53Nimeshikwa sana na ghadhabu kwa ajili ya waovu, ambao wameacha sheria yako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.