Zaburi 119:48
Psalms 119:48 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ninaziinulia amri zako ambazo ninazipenda mikono yangu, nami ninatafakari juu ya maagizo yako.
Psalms 119:48 in English
Psalms 119:48 · Berean Standard Bible
I lift up my hands to Your commandments, which I love, and I meditate on Your statutes.
Context
46Nitasema sheria zako mbele za wafalme
wala sitaaibishwa, 47kwa kuwa ninazifurahia amri zako
kwa sababu ninazipenda. 48Ninaziinulia amri zako ambazo ninazipenda mikono yangu,
nami ninatafakari juu ya maagizo yako. 49Kumbuka neno lako kwa mtumishi wako,
kwa sababu umenipa tumaini. 50Faraja yangu katika mateso yangu ni hii:
Ahadi yako inahifadhi maisha yangu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.