Native Bible

Psalms 119:46 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nitasema sheria zako mbele za wafalme wala sitaaibishwa,

Psalms 119:46 in English

Psalms 119:46 · Berean Standard Bible

I will speak of Your testimonies before kings, and I will not be ashamed.

Context

44Nitaitii amri yako daima, naam, milele na milele. 45Nitatembea nikiwa huru, kwa kuwa nimejifunza mausia yako. 46Nitasema sheria zako mbele za wafalme wala sitaaibishwa, 47kwa kuwa ninazifurahia amri zako kwa sababu ninazipenda. 48Ninaziinulia amri zako ambazo ninazipenda mikono yangu, nami ninatafakari juu ya maagizo yako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.