Zaburi 119:47
Psalms 119:47 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
kwa kuwa ninazifurahia amri zako kwa sababu ninazipenda.
Psalms 119:47 in English
Psalms 119:47 · Berean Standard Bible
I delight in Your commandments because I love them.
Context
45Nitatembea nikiwa huru,
kwa kuwa nimejifunza mausia yako. 46Nitasema sheria zako mbele za wafalme
wala sitaaibishwa, 47kwa kuwa ninazifurahia amri zako
kwa sababu ninazipenda. 48Ninaziinulia amri zako ambazo ninazipenda mikono yangu,
nami ninatafakari juu ya maagizo yako. 49Kumbuka neno lako kwa mtumishi wako,
kwa sababu umenipa tumaini.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.