Native Bible

Psalms 119:45 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nitatembea nikiwa huru, kwa kuwa nimejifunza mausia yako.

Psalms 119:45 in English

Psalms 119:45 · Berean Standard Bible

And I will walk in freedom, for I have sought Your precepts.

Context

43Usilinyakue neno la kweli kutoka kinywani mwangu, kwa kuwa nimeweka tumaini langu katika amri zako. 44Nitaitii amri yako daima, naam, milele na milele. 45Nitatembea nikiwa huru, kwa kuwa nimejifunza mausia yako. 46Nitasema sheria zako mbele za wafalme wala sitaaibishwa, 47kwa kuwa ninazifurahia amri zako kwa sababu ninazipenda.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.