Zaburi 119:43
Psalms 119:43 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Usilinyakue neno la kweli kutoka kinywani mwangu, kwa kuwa nimeweka tumaini langu katika amri zako.
Psalms 119:43 in English
Psalms 119:43 · Berean Standard Bible
Never take Your word of truth from my mouth, for I hope in Your judgments.
Context
41Ee Bwana, upendo wako usiokoma unijie,
wokovu wako sawasawa na ahadi yako, 42ndipo nitakapomjibu anayenidhihaki,
kwa kuwa ninalitumainia neno lako. 43Usilinyakue neno la kweli kutoka kinywani mwangu,
kwa kuwa nimeweka tumaini langu katika amri zako. 44Nitaitii amri yako daima,
naam, milele na milele. 45Nitatembea nikiwa huru,
kwa kuwa nimejifunza mausia yako.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.