Native Bible

Psalms 119:41 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ee Bwana, upendo wako usiokoma unijie, wokovu wako sawasawa na ahadi yako,

Psalms 119:41 in English

Psalms 119:41 · Berean Standard Bible

May Your loving devotion come to me, O LORD, Your salvation, according to Your promise.

Context

39Niondolee aibu ninayoiogopa, kwa kuwa sheria zako ni njema. 40Tazama jinsi ninavyoonea shauku mausia yako! Hifadhi maisha yangu katika haki yako. 41Ee Bwana, upendo wako usiokoma unijie, wokovu wako sawasawa na ahadi yako, 42ndipo nitakapomjibu anayenidhihaki, kwa kuwa ninalitumainia neno lako. 43Usilinyakue neno la kweli kutoka kinywani mwangu, kwa kuwa nimeweka tumaini langu katika amri zako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.