Zaburi 119:39
Psalms 119:39 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Niondolee aibu ninayoiogopa, kwa kuwa sheria zako ni njema.
Psalms 119:39 in English
Psalms 119:39 · Berean Standard Bible
Turn away the disgrace I dread, for Your judgments are good.
Context
37Geuza macho yangu kutoka kwenye mambo yasiyofaa,
uyahifadhi maisha yangu sawasawa na neno lako. 38Mtimizie mtumishi wako ahadi yako,
ili upate kuogopwa. 39Niondolee aibu ninayoiogopa,
kwa kuwa sheria zako ni njema. 40Tazama jinsi ninavyoonea shauku mausia yako!
Hifadhi maisha yangu katika haki yako. 41Ee Bwana, upendo wako usiokoma unijie,
wokovu wako sawasawa na ahadi yako,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.