Native Bible

Psalms 119:38 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mtimizie mtumishi wako ahadi yako, ili upate kuogopwa.

Psalms 119:38 in English

Psalms 119:38 · Berean Standard Bible

Establish Your word to Your servant, to produce reverence for You.

Context

36Ugeuze moyo wangu kuelekea sheria zako, na siyo kwenye mambo ya ubinafsi. 37Geuza macho yangu kutoka kwenye mambo yasiyofaa, uyahifadhi maisha yangu sawasawa na neno lako. 38Mtimizie mtumishi wako ahadi yako, ili upate kuogopwa. 39Niondolee aibu ninayoiogopa, kwa kuwa sheria zako ni njema. 40Tazama jinsi ninavyoonea shauku mausia yako! Hifadhi maisha yangu katika haki yako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.