Zaburi 119:36
Psalms 119:36 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ugeuze moyo wangu kuelekea sheria zako, na siyo kwenye mambo ya ubinafsi.
Psalms 119:36 in English
Psalms 119:36 · Berean Standard Bible
Turn my heart to Your testimonies and not to covetous gain.
Context
34Nipe ufahamu, nami nitaishika sheria yako
na kuitii kwa moyo wangu wote. 35Niongoze kwenye njia ya amri zako,
kwa kuwa huko napata furaha. 36Ugeuze moyo wangu kuelekea sheria zako,
na siyo kwenye mambo ya ubinafsi. 37Geuza macho yangu kutoka kwenye mambo yasiyofaa,
uyahifadhi maisha yangu sawasawa na neno lako. 38Mtimizie mtumishi wako ahadi yako,
ili upate kuogopwa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.