Native Bible

Psalms 119:35 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Niongoze kwenye njia ya amri zako, kwa kuwa huko napata furaha.

Psalms 119:35 in English

Psalms 119:35 · Berean Standard Bible

Direct me in the path of Your commandments, for there I find delight.

Context

33Ee Bwana, nifundishe kuyafuata maagizo yako, nami nitayashika mpaka mwisho. 34Nipe ufahamu, nami nitaishika sheria yako na kuitii kwa moyo wangu wote. 35Niongoze kwenye njia ya amri zako, kwa kuwa huko napata furaha. 36Ugeuze moyo wangu kuelekea sheria zako, na siyo kwenye mambo ya ubinafsi. 37Geuza macho yangu kutoka kwenye mambo yasiyofaa, uyahifadhi maisha yangu sawasawa na neno lako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.