Zaburi 119:33
Psalms 119:33 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ee Bwana, nifundishe kuyafuata maagizo yako, nami nitayashika mpaka mwisho.
Psalms 119:33 in English
Psalms 119:33 · Berean Standard Bible
Teach me, O LORD, the way of Your statutes, and I will keep them to the end.*
Context
31Nimengʼangʼania sheria zako, Ee Bwana,
usiniache niaibishwe. 32Nakimbilia katika njia ya maagizo yako,
kwa kuwa umeuweka moyo wangu huru. 33Ee Bwana, nifundishe kuyafuata maagizo yako,
nami nitayashika mpaka mwisho. 34Nipe ufahamu, nami nitaishika sheria yako
na kuitii kwa moyo wangu wote. 35Niongoze kwenye njia ya amri zako,
kwa kuwa huko napata furaha.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.