Native Bible

Psalms 119:31 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nimengʼangʼania sheria zako, Ee Bwana, usiniache niaibishwe.

Psalms 119:31 in English

Psalms 119:31 · Berean Standard Bible

I cling to Your testimonies, O LORD; let me not be put to shame.

Context

29Niepushe na njia za udanganyifu, kwa neema unifundishe sheria zako. 30Nimechagua njia ya kweli, nimekaza moyo wangu katika sheria zako. 31Nimengʼangʼania sheria zako, Ee Bwana, usiniache niaibishwe. 32Nakimbilia katika njia ya maagizo yako, kwa kuwa umeuweka moyo wangu huru. 33Ee Bwana, nifundishe kuyafuata maagizo yako, nami nitayashika mpaka mwisho.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.