Zaburi 119:29
Psalms 119:29 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Niepushe na njia za udanganyifu, kwa neema unifundishe sheria zako.
Psalms 119:29 in English
Psalms 119:29 · Berean Standard Bible
Remove me from the path of deceit and graciously grant me Your law.
Context
27Nijulishe mafundisho ya mausia yako,
nami nitatafakari maajabu yako. 28Nafsi yangu imechakazwa kwa huzuni,
uniimarishe sawasawa na neno lako. 29Niepushe na njia za udanganyifu,
kwa neema unifundishe sheria zako. 30Nimechagua njia ya kweli,
nimekaza moyo wangu katika sheria zako. 31Nimengʼangʼania sheria zako, Ee Bwana,
usiniache niaibishwe.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.