Native Bible

Psalms 119:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nafsi yangu imechakazwa kwa huzuni, uniimarishe sawasawa na neno lako.

Psalms 119:28 in English

Psalms 119:28 · Berean Standard Bible

My soul melts with sorrow; strengthen me according to Your word.

Context

26Nilikueleza njia zangu ukanijibu, nifundishe sheria zako. 27Nijulishe mafundisho ya mausia yako, nami nitatafakari maajabu yako. 28Nafsi yangu imechakazwa kwa huzuni, uniimarishe sawasawa na neno lako. 29Niepushe na njia za udanganyifu, kwa neema unifundishe sheria zako. 30Nimechagua njia ya kweli, nimekaza moyo wangu katika sheria zako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.