Native Bible

Psalms 119:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nilikueleza njia zangu ukanijibu, nifundishe sheria zako.

Psalms 119:26 in English

Psalms 119:26 · Berean Standard Bible

I recounted my ways, and You answered me; teach me Your statutes.

Context

24Sheria zako ni furaha yangu, nazo ni washauri wangu. 25Nimelazwa chini mavumbini, yahifadhi maisha yangu sawasawa na neno lako. 26Nilikueleza njia zangu ukanijibu, nifundishe sheria zako. 27Nijulishe mafundisho ya mausia yako, nami nitatafakari maajabu yako. 28Nafsi yangu imechakazwa kwa huzuni, uniimarishe sawasawa na neno lako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.