Zaburi 119:24
Psalms 119:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Sheria zako ni furaha yangu, nazo ni washauri wangu.
Psalms 119:24 in English
Psalms 119:24 · Berean Standard Bible
Your testimonies are indeed my delight; they are my counselors.
Context
22Niondolee dharau na dhihaka,
kwa kuwa ninazishika sheria zako. 23Ingawa watawala huketi pamoja na kunisingizia,
mtumishi wako atatafakari juu ya maagizo yako. 24Sheria zako ni furaha yangu,
nazo ni washauri wangu. 25Nimelazwa chini mavumbini,
yahifadhi maisha yangu sawasawa na neno lako. 26Nilikueleza njia zangu ukanijibu,
nifundishe sheria zako.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.