Zaburi 119:22
Psalms 119:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Niondolee dharau na dhihaka, kwa kuwa ninazishika sheria zako.
Psalms 119:22 in English
Psalms 119:22 · Berean Standard Bible
Remove my scorn and contempt, for I have kept Your testimonies.
Context
20Nafsi yangu inataabika kwa shauku kubwa
juu ya sheria zako wakati wote. 21Unawakemea wenye majivuno, waliolaaniwa
waendao mbali na amri zako. 22Niondolee dharau na dhihaka,
kwa kuwa ninazishika sheria zako. 23Ingawa watawala huketi pamoja na kunisingizia,
mtumishi wako atatafakari juu ya maagizo yako. 24Sheria zako ni furaha yangu,
nazo ni washauri wangu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.