Native Bible

Psalms 119:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nafsi yangu inataabika kwa shauku kubwa juu ya sheria zako wakati wote.

Psalms 119:20 in English

Psalms 119:20 · Berean Standard Bible

My soul is consumed with longing for Your judgments at all times.

Context

18Yafungue macho yangu nipate kuona mambo ya ajabu katika sheria yako. 19Mimi ni mgeni duniani, usinifiche amri zako. 20Nafsi yangu inataabika kwa shauku kubwa juu ya sheria zako wakati wote. 21Unawakemea wenye majivuno, waliolaaniwa waendao mbali na amri zako. 22Niondolee dharau na dhihaka, kwa kuwa ninazishika sheria zako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.