Native Bible

Psalms 119:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nijulishe mafundisho ya mausia yako, nami nitatafakari maajabu yako.

Psalms 119:27 in English

Psalms 119:27 · Berean Standard Bible

Make clear to me the way of Your precepts; then I will meditate on Your wonders.

Context

25Nimelazwa chini mavumbini, yahifadhi maisha yangu sawasawa na neno lako. 26Nilikueleza njia zangu ukanijibu, nifundishe sheria zako. 27Nijulishe mafundisho ya mausia yako, nami nitatafakari maajabu yako. 28Nafsi yangu imechakazwa kwa huzuni, uniimarishe sawasawa na neno lako. 29Niepushe na njia za udanganyifu, kwa neema unifundishe sheria zako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.