Native Bible

Psalms 119:32 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nakimbilia katika njia ya maagizo yako, kwa kuwa umeuweka moyo wangu huru.

Psalms 119:32 in English

Psalms 119:32 · Berean Standard Bible

I run in the path of Your commandments, for You will enlarge my heart.

Context

30Nimechagua njia ya kweli, nimekaza moyo wangu katika sheria zako. 31Nimengʼangʼania sheria zako, Ee Bwana, usiniache niaibishwe. 32Nakimbilia katika njia ya maagizo yako, kwa kuwa umeuweka moyo wangu huru. 33Ee Bwana, nifundishe kuyafuata maagizo yako, nami nitayashika mpaka mwisho. 34Nipe ufahamu, nami nitaishika sheria yako na kuitii kwa moyo wangu wote.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.