Native Bible

Psalms 119:40 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Tazama jinsi ninavyoonea shauku mausia yako! Hifadhi maisha yangu katika haki yako.

Psalms 119:40 in English

Psalms 119:40 · Berean Standard Bible

How I long for Your precepts! Revive me in Your righteousness.

Context

38Mtimizie mtumishi wako ahadi yako, ili upate kuogopwa. 39Niondolee aibu ninayoiogopa, kwa kuwa sheria zako ni njema. 40Tazama jinsi ninavyoonea shauku mausia yako! Hifadhi maisha yangu katika haki yako. 41Ee Bwana, upendo wako usiokoma unijie, wokovu wako sawasawa na ahadi yako, 42ndipo nitakapomjibu anayenidhihaki, kwa kuwa ninalitumainia neno lako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.