Zaburi 119:42
Psalms 119:42 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
ndipo nitakapomjibu anayenidhihaki, kwa kuwa ninalitumainia neno lako.
Psalms 119:42 in English
Psalms 119:42 · Berean Standard Bible
Then I can answer him who taunts, for I trust in Your word.
Context
40Tazama jinsi ninavyoonea shauku mausia yako!
Hifadhi maisha yangu katika haki yako. 41Ee Bwana, upendo wako usiokoma unijie,
wokovu wako sawasawa na ahadi yako, 42ndipo nitakapomjibu anayenidhihaki,
kwa kuwa ninalitumainia neno lako. 43Usilinyakue neno la kweli kutoka kinywani mwangu,
kwa kuwa nimeweka tumaini langu katika amri zako. 44Nitaitii amri yako daima,
naam, milele na milele.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.