Native Bible

Psalms 119:44 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nitaitii amri yako daima, naam, milele na milele.

Psalms 119:44 in English

Psalms 119:44 · Berean Standard Bible

I will always obey Your law, forever and ever.

Context

42ndipo nitakapomjibu anayenidhihaki, kwa kuwa ninalitumainia neno lako. 43Usilinyakue neno la kweli kutoka kinywani mwangu, kwa kuwa nimeweka tumaini langu katika amri zako. 44Nitaitii amri yako daima, naam, milele na milele. 45Nitatembea nikiwa huru, kwa kuwa nimejifunza mausia yako. 46Nitasema sheria zako mbele za wafalme wala sitaaibishwa,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.