Native Bible

Psalms 119:169 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ee Bwana, kilio changu na kifike mbele zako, nipe ufahamu sawasawa na neno lako.

Psalms 119:169 in English

Psalms 119:169 · Berean Standard Bible

May my cry come before You, O LORD; give me understanding according to Your word.

Context

167Ninazitii sheria zako, kwa sababu ninazipenda mno. 168Nimetii mausia yako na sheria zako, kwa kuwa njia zangu zote zinajulikana kwako. 169Ee Bwana, kilio changu na kifike mbele zako, nipe ufahamu sawasawa na neno lako. 170Maombi yangu na yafike mbele zako, niokoe sawasawa na ahadi yako. 171Midomo yangu na ibubujike sifa, kwa kuwa unanifundisha maagizo yako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.