Zaburi 119:171
Psalms 119:171 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Midomo yangu na ibubujike sifa, kwa kuwa unanifundisha maagizo yako.
Psalms 119:171 in English
Psalms 119:171 · Berean Standard Bible
My lips pour forth praise, for You teach me Your statutes.
Context
169Ee Bwana, kilio changu na kifike mbele zako,
nipe ufahamu sawasawa na neno lako. 170Maombi yangu na yafike mbele zako,
niokoe sawasawa na ahadi yako. 171Midomo yangu na ibubujike sifa,
kwa kuwa unanifundisha maagizo yako. 172Ulimi wangu na uimbe kuhusu neno lako,
kwa kuwa amri zako zote ni za haki. 173Mkono wako uwe tayari kunisaidia,
kwa kuwa nimechagua mausia yako.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.