Native Bible

Psalms 119:173 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mkono wako uwe tayari kunisaidia, kwa kuwa nimechagua mausia yako.

Psalms 119:173 in English

Psalms 119:173 · Berean Standard Bible

May Your hand be ready to help me, for I have chosen Your precepts.

Context

171Midomo yangu na ibubujike sifa, kwa kuwa unanifundisha maagizo yako. 172Ulimi wangu na uimbe kuhusu neno lako, kwa kuwa amri zako zote ni za haki. 173Mkono wako uwe tayari kunisaidia, kwa kuwa nimechagua mausia yako. 174Ee Bwana, ninatamani wokovu wako, na sheria yako ni furaha yangu. 175Nijalie kuishi ili nipate kukusifu, na sheria zako zinitegemeze.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.