Zaburi 119:174
Psalms 119:174 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ee Bwana, ninatamani wokovu wako, na sheria yako ni furaha yangu.
Psalms 119:174 in English
Psalms 119:174 · Berean Standard Bible
I long for Your salvation, O LORD, and Your law is my delight.
Context
172Ulimi wangu na uimbe kuhusu neno lako,
kwa kuwa amri zako zote ni za haki. 173Mkono wako uwe tayari kunisaidia,
kwa kuwa nimechagua mausia yako. 174Ee Bwana, ninatamani wokovu wako,
na sheria yako ni furaha yangu. 175Nijalie kuishi ili nipate kukusifu,
na sheria zako zinitegemeze. 176Nimetangatanga kama kondoo aliyepotea.
Mtafute mtumishi wako,
kwa kuwa sijasahau amri zako.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.