Native Bible

Psalms 119:170 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Maombi yangu na yafike mbele zako, niokoe sawasawa na ahadi yako.

Psalms 119:170 in English

Psalms 119:170 · Berean Standard Bible

May my plea come before You; rescue me according to Your promise.

Context

168Nimetii mausia yako na sheria zako, kwa kuwa njia zangu zote zinajulikana kwako. 169Ee Bwana, kilio changu na kifike mbele zako, nipe ufahamu sawasawa na neno lako. 170Maombi yangu na yafike mbele zako, niokoe sawasawa na ahadi yako. 171Midomo yangu na ibubujike sifa, kwa kuwa unanifundisha maagizo yako. 172Ulimi wangu na uimbe kuhusu neno lako, kwa kuwa amri zako zote ni za haki.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.