Native Bible

Psalms 119:168 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nimetii mausia yako na sheria zako, kwa kuwa njia zangu zote zinajulikana kwako.

Psalms 119:168 in English

Psalms 119:168 · Berean Standard Bible

I obey Your precepts and Your testimonies, for all my ways are before You.

Context

166Ee Bwana, ninangojea wokovu wako, nami ninafuata amri zako, 167Ninazitii sheria zako, kwa sababu ninazipenda mno. 168Nimetii mausia yako na sheria zako, kwa kuwa njia zangu zote zinajulikana kwako. 169Ee Bwana, kilio changu na kifike mbele zako, nipe ufahamu sawasawa na neno lako. 170Maombi yangu na yafike mbele zako, niokoe sawasawa na ahadi yako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.