Zaburi 119:167
Psalms 119:167 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ninazitii sheria zako, kwa sababu ninazipenda mno.
Psalms 119:167 in English
Psalms 119:167 · Berean Standard Bible
I obey Your testimonies and love them greatly.
Context
165Wanaopenda sheria yako wana amani tele,
wala hakuna kitu kinachoweza kuwakwaza. 166Ee Bwana, ninangojea wokovu wako,
nami ninafuata amri zako, 167Ninazitii sheria zako,
kwa sababu ninazipenda mno. 168Nimetii mausia yako na sheria zako,
kwa kuwa njia zangu zote zinajulikana kwako. 169Ee Bwana, kilio changu na kifike mbele zako,
nipe ufahamu sawasawa na neno lako.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.