Native Bible

Psalms 113:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ni nani aliye kama Bwana Mungu wetu, Yeye ambaye ameketi juu kwenye kiti cha enzi,

Psalms 113:5 in English

Psalms 113:5 · Berean Standard Bible

Who is like the LORD our God, the One enthroned on high?

Context

3Kuanzia mawio ya jua hadi machweo yake, jina la Bwana linapaswa kusifiwa. 4Bwana ametukuka juu ya mataifa yote, utukufu wake juu ya mbingu. 5Ni nani aliye kama Bwana Mungu wetu, Yeye ambaye ameketi juu kwenye kiti cha enzi, 6ambaye huinama atazame chini aone mbingu na nchi? 7Huwainua maskini kutoka mavumbini, na kuwanyanyua wahitaji kutoka kwenye jalala,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.