Native Bible

Psalms 113:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kuanzia mawio ya jua hadi machweo yake, jina la Bwana linapaswa kusifiwa.

Psalms 113:3 in English

Psalms 113:3 · Berean Standard Bible

From where the sun rises to where it sets, the name of the LORD is praised.

Context

1Msifuni Bwana. Enyi watumishi wa Bwana msifuni, lisifuni jina la Bwana. 2Jina la Bwana na lisifiwe, sasa na hata milele. 3Kuanzia mawio ya jua hadi machweo yake, jina la Bwana linapaswa kusifiwa. 4Bwana ametukuka juu ya mataifa yote, utukufu wake juu ya mbingu. 5Ni nani aliye kama Bwana Mungu wetu, Yeye ambaye ameketi juu kwenye kiti cha enzi,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.