Native Bible

Psalms 113:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Msifuni Bwana. Enyi watumishi wa Bwana msifuni, lisifuni jina la Bwana.

Psalms 113:1 in English

Psalms 113:1 · Berean Standard Bible

Hallelujah!* Give praise, O servants of the LORD; praise the name of the LORD.

Context

1Msifuni Bwana. Enyi watumishi wa Bwana msifuni, lisifuni jina la Bwana. 2Jina la Bwana na lisifiwe, sasa na hata milele. 3Kuanzia mawio ya jua hadi machweo yake, jina la Bwana linapaswa kusifiwa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.