Native Bible

Psalms 113:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

ambaye huinama atazame chini aone mbingu na nchi?

Psalms 113:6 in English

Psalms 113:6 · Berean Standard Bible

He humbles Himself to behold the heavens and the earth.

Context

4Bwana ametukuka juu ya mataifa yote, utukufu wake juu ya mbingu. 5Ni nani aliye kama Bwana Mungu wetu, Yeye ambaye ameketi juu kwenye kiti cha enzi, 6ambaye huinama atazame chini aone mbingu na nchi? 7Huwainua maskini kutoka mavumbini, na kuwanyanyua wahitaji kutoka kwenye jalala, 8huwaketisha pamoja na wakuu, pamoja na wakuu wa watu wake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.