Native Bible

Psalms 112:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Moyo wake ni salama, hatakuwa na hofu, mwishoni ataona ushindi dhidi ya adui zake.

Psalms 112:8 in English

Psalms 112:8 · Berean Standard Bible

His heart is assured; he does not fear, until he looks in triumph on his foes.

Context

6Hakika hatatikisika kamwe, mtu mwenye haki atakumbukwa milele. 7Hataogopa habari mbaya, moyo wake ni thabiti, ukimtegemea Bwana. 8Moyo wake ni salama, hatakuwa na hofu, mwishoni ataona ushindi dhidi ya adui zake. 9Ametawanya vipawa vyake kwa ukarimu akawapa maskini; haki yake hudumu milele; pembe yake itatukuzwa kwa heshima. 10Mtu mwovu ataona na kuchukizwa, atasaga meno yake na kutoweka, kutamani kwa mtu mwovu kutaishia patupu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.