Native Bible

Psalms 112:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mtu mwovu ataona na kuchukizwa, atasaga meno yake na kutoweka, kutamani kwa mtu mwovu kutaishia patupu.

Psalms 112:10 in English

Psalms 112:10 · Berean Standard Bible

The wicked man will see and be grieved; he will gnash his teeth and waste away; the desires of the wicked will perish.

Context

8Moyo wake ni salama, hatakuwa na hofu, mwishoni ataona ushindi dhidi ya adui zake. 9Ametawanya vipawa vyake kwa ukarimu akawapa maskini; haki yake hudumu milele; pembe yake itatukuzwa kwa heshima. 10Mtu mwovu ataona na kuchukizwa, atasaga meno yake na kutoweka, kutamani kwa mtu mwovu kutaishia patupu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.