Zaburi 112:9
Psalms 112:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ametawanya vipawa vyake kwa ukarimu akawapa maskini; haki yake hudumu milele; pembe yake itatukuzwa kwa heshima.
Psalms 112:9 in English
Psalms 112:9 · Berean Standard Bible
He has scattered abroad his gifts to the poor; his righteousness endures forever;* his horn will be lifted high in honor.
Context
7Hataogopa habari mbaya,
moyo wake ni thabiti, ukimtegemea Bwana. 8Moyo wake ni salama, hatakuwa na hofu,
mwishoni ataona ushindi dhidi ya adui zake. 9Ametawanya vipawa vyake kwa ukarimu akawapa maskini;
haki yake hudumu milele;
pembe yake itatukuzwa kwa heshima. 10Mtu mwovu ataona na kuchukizwa,
atasaga meno yake na kutoweka,
kutamani kwa mtu mwovu kutaishia patupu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.