Native Bible

Psalms 112:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hataogopa habari mbaya, moyo wake ni thabiti, ukimtegemea Bwana.

Psalms 112:7 in English

Psalms 112:7 · Berean Standard Bible

He does not fear bad news; his heart is steadfast, trusting in the LORD.

Context

5Mema yatamjia mtu yule aliye mkarimu na mwenye kukopesha bila riba, anayefanya mambo yake kwa haki. 6Hakika hatatikisika kamwe, mtu mwenye haki atakumbukwa milele. 7Hataogopa habari mbaya, moyo wake ni thabiti, ukimtegemea Bwana. 8Moyo wake ni salama, hatakuwa na hofu, mwishoni ataona ushindi dhidi ya adui zake. 9Ametawanya vipawa vyake kwa ukarimu akawapa maskini; haki yake hudumu milele; pembe yake itatukuzwa kwa heshima.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.