Zaburi 112:6
Psalms 112:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hakika hatatikisika kamwe, mtu mwenye haki atakumbukwa milele.
Psalms 112:6 in English
Psalms 112:6 · Berean Standard Bible
Surely he will never be shaken; the righteous man will be remembered forever.
Context
4Hata gizani nuru humzukia mtu mwadilifu,
yule mwenye rehema, huruma na haki. 5Mema yatamjia mtu yule aliye mkarimu na mwenye kukopesha bila riba,
anayefanya mambo yake kwa haki. 6Hakika hatatikisika kamwe,
mtu mwenye haki atakumbukwa milele. 7Hataogopa habari mbaya,
moyo wake ni thabiti, ukimtegemea Bwana. 8Moyo wake ni salama, hatakuwa na hofu,
mwishoni ataona ushindi dhidi ya adui zake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.