Native Bible

Psalms 109:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wamenizunguka kwa maneno ya chuki, wananishambulia bila sababu.

Psalms 109:3 in English

Psalms 109:3 · Berean Standard Bible

They surround me with hateful words and attack me without cause.

Context

1Ee Mungu, ambaye ninakusifu, usiwe kimya, 2kwa maana watu waovu na wadanganyifu wamefungua vinywa vyao dhidi yangu; wasema dhidi yangu kwa ndimi za udanganyifu. 3Wamenizunguka kwa maneno ya chuki, wananishambulia bila sababu. 4Wanachonilipa badala ya urafiki wangu ni kunishtaki, lakini mimi ninawaombea. 5Wananilipiza mabaya kwa mema, chuki badala ya urafiki wangu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.