Native Bible

Psalms 109:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ee Mungu, ambaye ninakusifu, usiwe kimya,

Psalms 109:1 in English

Psalms 109:1 · Berean Standard Bible

O God of my praise, be not silent.

Context

1Ee Mungu, ambaye ninakusifu, usiwe kimya, 2kwa maana watu waovu na wadanganyifu wamefungua vinywa vyao dhidi yangu; wasema dhidi yangu kwa ndimi za udanganyifu. 3Wamenizunguka kwa maneno ya chuki, wananishambulia bila sababu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.